Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Msumbiji

  • Bairro dos Pescadores, karibu na mji wa Maputo, Msumbiji​—Kutoa gazeti la Mnara wa Mlinzi

Taarifa Fupi—Msumbiji

  • 32,420,000—Idadi
  • 87,668—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,651—Makutaniko
  • 1 kwa 398—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kufurahia Kusanyiko Kupitia Vituo vya Habari

Kusanyiko la eneo la 2020 lilipatikana kupitia Intaneti, lakini wengi nchini Malawi na Msumbiji hawawezi kupata huduma za Intaneti. Walifauluje kufurahia kusanyiko?