Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Hisia Zako

Hisia Zako

SEHEMU YA 7

Hisia Zako

Kati ya taarifa zifuatazo, ni taarifa gani inayokufafanua vizuri?

□ Siwezi kuzuia hasira yangu.

□❏ Mimi ni bure kabisa—siwezi kufanya lolote.

□ Nina huzuni saa zote. Sina furaha kamwe maishani.

□ Daima, nawafikiria watu wa jinsia tofauti.

□ Nyakati nyingine mimi huvutiwa na watu wa jinsia yangu.

Ikiwa ulichagua yoyote ya taarifa hizo, usikate tamaa! Sura ya 26-29 zitakusaidia kujua jinsi unavyoweza kudhibiti hisia zako ili zisikutawale.

[Picha katika ukurasa wa 216, 217