Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW Broadcasting Kwa King’amuzi cha Roku

JW Broadcasting Kwa King’amuzi cha Roku

Ili kutazama video au kusikiliza programu za sauti kutoka katika tovuti ya jw.org kwenye televisheni yako, tumia programu ya JW Broadcasting kwa ajili ya Amazon Fire TV, Apple TV, au king’amuzi cha Roku.

Unaweza kutazama video zetu zote kwenye mtandao katika tovuti ya jw.org. Nenda kwenye Maktaba > Video ili kuona video zote zinazopatikana, kutia ndani zile zilizorekodiwa katika studio yetu ya JW Broadcasting. Ili kujua mengi zaidi, ona Tazama Video kwenye JW.ORG.

 

KATIKA SEHEMU HII

Sakinisha Programu ya JW Broadcasting Kwenye Roku

Fuata hatua hizi ili utazame kituo cha JW Broadcasting kwenye Roku.

Tazama Video za Karibuni Kupitia Roku

Tafuta video, kucheza, kutua, kupeleka mbele, na kurudisha nyuma video, na kutazama video za karibuni au zinazotangulizwa.

Sikiliza Audio Kupitia Roku

Sikiliza programu au mkusanyo wa audio. Cheza, tua, peleka mbele, na rudisha nyuma audio.

Tafuta Audio na Video Kupitia Roku

Pata video, nyimbo, au programu za audio kwenye JW Broadcasting ukitumia sehemu ya Tafuta.

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Broadcasting (Roku)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.