Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Afrika Kusini

  • Stellenbosch, Afrika Kusini—Kumhubiria mkulima wa zabibu katika shamba la mizabibu nje ya Cape Town

  • Bo-Kaap, Cape Town, Afrika Kusini—Kuhubiri katika mtaa mmoja jijini

  • Weltevrede, Jimbo la Mpumalanga, Afrika Kusini​—Kumwalika mwanamke wa Kindebele katika mikutano kwenye Jumba la Ufalme

Taarifa Fupi—Afrika Kusini

  • 60,605,000—Idadi
  • 100,331—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,966—Makutaniko
  • 1 kwa 617—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Maisha Yenye Furaha Katika Utumishi wa Yehova

Simulizi la Maisha: John Kikot

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kituo cha Satelaiti cha JW Kinachofika Maeneo Ambapo Intaneti Haifiki

Ndugu barani Afrika hutumia nini kutazama JW Broadcasting ikiwa hawawezi kupata Intaneti?

BIBLIA INABADILI MAISHA

Johny na Gideon: Walikuwa Maadui, Sasa Ni Ndugu

Katika maeneo fulani, ubaguzi wa rangi ni jambo la kawaida kila siku. Ona jinsi wanaume wawili nchini Afrika Kusini walishinda tatizo hilo.