Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Maeneo ya Palestina

Taarifa Fupi—Maeneo ya Palestina

  • 5,490,000—Idadi
  • 78—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 2—Makutaniko
  • 1 kwa 72,237—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

BIBLIA INABADILI MAISHA

Je, Upendo Unaweza Kushinda Chuki?

Inaweza kuwa vigumu kushinda ubaguzi. Ona jinsi Myahudi na Mpalestina walivyofanikiwa kushinda tatizo hilo.

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi wa Yehova Wanyimwa Haki ya Kujisajili Katika Eneo la Palestina

Ubaguzi wa kidini unaowazuia Mashahidi wa Yehova kutambulika kisheria haupaswi kusababisha wakose haki zao za msingi za kibinadamu.