Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

New Zealand

  • Bandari ya Waitemata, Auckland, New Zealand​—Kumhubiria mvuvi isivyo rasmi ujumbe wa Biblia

Taarifa Fupi—New Zealand

  • 5,199,000—Idadi
  • 14,607—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 170—Makutaniko
  • 1 kwa 360—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE

Mashahidi wa Yehova Nchini New Zealand​—Wakristo Wenye Amani na Waliojitoa

Katika miaka ya 1940, kwa nini Mashahidi walionwa kuwa wanahatarisha amani ya umma?

AMKENI!

Kutembelea New Zealand

Licha ya kwamba New Zealand imejitenga, watalii zaidi ya milioni tatu huitembelea nchi hiyo kila mwaka. Wao huvutiwa na nini?