Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

St. Martin

Taarifa Fupi—St. Martin

  • 32,000—Idadi
  • 303—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 5—Makutaniko
  • 1 kwa 115—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada

Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.

TAARIFA ZA HABARI

Hali Baada ya Kimbunga Irma

Habari kutoka ofisi za tawi nchini Barbados, Jamhuri ya Dominika, Ufaransa, na Marekani.