Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kanada

  • Montreal, Kanada—Kutoa gazeti la Mnara wa Mlinzi

Taarifa Fupi—Kanada

  • 38,704,000—Idadi
  • 120,388—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,164—Makutaniko
  • 1 kwa 325—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mahakama Kuu ya Kanada Yakataa Kuingilia Mpango wa Kutenga na Ushirika

Mahakama Kuu iliamua kwamba mpango wa Mashahidi wa kutenga na ushirika “hauchochewi na uadui, bali umekusudiwa kumsaidia mshiriki aendelee kuwa sehemu ya Kutaniko.”

KAZI YA KUHUBIRI

Kuwahubiria Wenyeji wa Asili wa Kanada

Mashahidi wa Yehova wanawaambia wengine ujumbe wa Biblia wenye kufariji katika lugha zao za kienyeji ili kuwasaidia wajifunze kumhusu Muumba.

TAARIFA ZA HABARI

Kielelezo cha Imani Katika Kambi za Kazi Ngumu Kanada

Miaka 75 imepita tangu ndugu zetu wapendwa walipoachiliwa na kutoka kwenye kambi za kazi ngumu nchini Kanada. Walifungwa kwa sababu ya dhamiri zao zilizozoezwa na Biblia.