Hamia kwenye habari

Ndugu Sergey Petrenko

APRILI 27, 2023
URUSI

“Hatujakosa Chochote”

“Hatujakosa Chochote”

Mahakama ya Wilaya ya Maiminskiy District iliyo katika Jamhuri ya Altai itatangaza hivi karibuni uamuzi wake katika kesi inayomhusu Ndugu Sergey Petrenko. Mwendesha-mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Kama Sergey, sisi pia tunajua kwamba Yehova hataacha kamwe kuwa tegemeo letu tunapoendelea kuvumilia kwa uaminifu.​—2 Samweli 22:19, 20.

Mfuatano wa Matukio

  1. Januari 16, 2022

    Msako wafanywa nyumbani kwake

  2. Julai 28, 2022

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa

  3. Desemba 7, 2022

    Awekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Desemba 22, 2022

    Kesi ya uhalifu yaanza